Tanzania - The Climate Resilient Agribusiness for Tomorrow (CRAFT)

Mwongozo wa Kilimo Himilivu cha Alizeti
Alizeti ni moja ya mazao muhimu zaidi ya mbegu za mafuta nchini Tanzania na huchangia asilimia 40 ya mahitaji ya kitaifa ya mafuta ya kupikia. Alizeti ni zao la mbegu ya mafuta inayokua kwa kasi zaidi nchini Tanzania, ambapo uzalishaji umeongezeka zaidi ya mara tatu tangu 2011 na kuifanya nchi kuwa mzalishaji mkubwa wa mbegu za alizeti barani Afrika. Sekta ya kilimo cha alizeti inasaidia zaidi ya wazalishaji wa mbegu za alizeti milioni 1.6, ambao wana uwezo wa kukidhi mahitaji ya kitaifa ya mafuta ya kupikia hasa kwa kuwa imepewa kipaumbele zaidi. Mbegu za alizeti ni chanzo cha bidhaa mbili muhimu ambazo ni mafuta kwa matumizi ya binadamu na matumizi ya viwandani na mashudu ya chakula cha protini nyingi (mashudu).

Alizeti ina uwezo wa kuboresha maisha ya baadaye na kupunguza umaskini kwa sababu ya kipindi chake kifupi cha ukuaji na gharama ndogo za uwekezaji zinazohusika katika kukuza zao hilo. Vilevile, zao hilo linaweza kubadilika sana kwa maeneo mengi ya kilimo nchini Tanzania na kuifanya iwe mbadala kamili wa zao la jadi la fedha, ambalo maisha yao ya baadaye yamegubikwa na misukosuko baianuwai ya soko la ulimwengu.

Mwongozo wa Kilimo Himilivu cha Viazi Mviringo
Maudhui ya kitabu hiki yamezingatia Mwongozo wa serikali wa mwaka 2017 wa kilimo
kinachozingatia Mabadiliko ya Tabianchi, uliotolewa na Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mradi wa Climate Resilient Agribusiness for Tomorrow
(CRAFT) umeandaa kitabu hiki kinachoelezea nini kifanyike katika kusaidia wazalishaji wa zao
la viazi mviringo ili waweze kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.

Mwongozo huu wa mafunzo ni sehemu ya kimsingi ya Kilimo Bora cha viazi mviringo na tabianchi.
Inatarajiwa kwamba Mwongozo huu wa mafunzo utatumika kama mwongozo wa rasilimali ya
kitaalamu, kwa wahusika wa ugani wa kilimo wa serikali na taasisi zisizo za serikali, mafunzo
ya wakufunzi, wafanyabiashara, wakulima wadogo na wa kati na wakubwa. Unakusudia kwa
upande mmoja, kutoa muhtasari mpana wa masuala ya msingi ya kitaaalamu yanayohusiana
na mabadiliko ya tabianchi, na muhtasari wa kanuni za kilimo cha viazi mviringo, lakini kwa
upande mwingine, kupanua matarajio ya watumiaji wake katika maeneo ya ikolojia, teknolojia
za tabianchi, na uuzaji na uwezeshaji wa kijinsia kwenye sekta ya Viazi mviringo.

Mwongozo wa Kilimo Himilivu cha Mtama
Maudhui ya kitabu hiki yamezingatia Mwongozo wa serikali wa mwaka 2017 wa kilimo
kinachozingatia Mabadiliko ya Tabianchi, uliotolewa na Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mradi wa Climate Resilient Agribusiness for Tomorrow
(CRAFT) umeandaa kitabu hiki kinachoelezea nini kifanyike katika kusaidia wazalishaji wa zao la
mtama ili waweze kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.

Mwongozo huu wa mafunzo ni sehemu ya msingi ya Kilimo himilivu cha zao la Mtama.Inatarajiwa
kwamba mwongozo huu wa mafunzo utatumika kama mwongozo wa kitaalamu, kwa wataalamu
wa ugani wa serikali na asasi zisizo za kiserikali, Mafunzo ya wakufunzi, mabingwa wa biashara,
wakulima wadogo, wa kati na wakubwa. Inakusudia kwa upande mmoja, kutoa muhtasari mpana
wa maswala ya msingi ya kitaalamu yanayohusiana na mabadiliko ya hali ya hewa, kilimo
stahimilivu cha hali ya hewa na kanuni za kilimo cha mtama. Kwa upande mwingine, mwongozo
utapanua matarajio ya watumiaji wake katika maeneo ya ikolojia, teknolojia za hali ya hewa na
uuzaji nashuleya biashara ya mkulima.

Mwongozo wa Kilimo Himilivu cha Maharagwe
Maudhui ya kitabu hiki yamezingatia Mwongozo wa serikali wa mwaka 2017 wa kilimo
kinachozingatia Mabadiliko ya Tabianchi, uliotolewa na Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mradi wa Climate Resilient Agribusiness for Tomorrow
(CRAFT) umeandaa kitabu hiki kinachoelezea nini kifanyike katika kusaidia wazalishaji wa zao la
maharagwe ili waweze kwendana na uhalisia mpya kutokana na mabadiliko ya tabianchi.

Mwongozo huu umeandaliwa ukiwalenga wadau wanaojihusisha na utoaji ama walio katika
maandalizi ya utoaji wa mafunzo juu ya mbinu za kukabiliana na mabadliko ya tabianchi kwenye
kilimo cha zao la maharagwe. Mwongozo huu umeandaliwa kwa ajili ya mafunzo sahihi na fanisi
kuhusu masuala ya mabadiliko ya tabianchi kwa wadau wote ili waweze kupata ujuzi na kuweza
kufikisha elimu ya mabadiliko ya tabianchi kuhusu kilimo cha maharagwe kwa wakulima na
kujenga ustahimilivu wa mabadiliko ya tabianchi. Mwongozo unaelezea nini mabadiliko ya
tabianchi na athari zake, namna mabadiliko hayo yanavyoathiri uzalishaji wa zao la maharagwe na
mnyororo mzima wa thamani wa zao hilo. Mwongozo unaelezea njia mbadala ambazo wazalishaji
wa maharagwe na wadau wengine wanaweza kutumia katika kukabiliana na athari za mabadiliko
ya tabianchi.